Series (Special thread)

Series (Special thread)

Seriously ndugu sina cha kuangalia usiku huu. Ngoja niangalie hii hata kama itakua mbaya mi sijali.
1746982535670.jpeg
Screenshot_20250511-195242.png



By the way huyu ndo aliigiza from paris with love?
 
Wadau wa mitandaoni Wana diss sana vitendo vya ki chokooo vinavyoendelea kwenye series Last of Us wengine wanasema vilikuwa havina ulazima kuwepo

Ukizingatia kale katoto wanakaweka kwenye scene za usagaji watu wamemaindi kinoma Kuna kipande wanapigana finger kabisa ilikuwa Haina ulazima kutuonesha

Wadau wanamaindi itapoteza mvuto
Wadau wapi labda wewe tu, haiwezi kupoteza mvuto kwa kuonesha wadada wawili wakipendana isipokua kwa kikundi kidogo kinachojulikana kama homophobia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom