Series (Special thread)

Series (Special thread)

20250425_200858.jpg
 
Movie: THE LAST DEAL

jamaa anajiusisha na uuzwaji wa bangi kipindi ambacho haujarasimishwa na serikali ya Marekani na anafanikiwa kupiga pesa sana baada ya serikali kurasimisha rasmi jamaa anakumbana na competition kubwa mno ya hiyo biashara kiasi ambacho biashara yake inashuka na maisha yake kiujumla yanashuka. Hii inampelekea kutafuta njia itakayomrudisha kwenye ramani, wakati haya yanaendea mke wake nae anatongozwa na mwenye hela, Sasa jamaa anaamua akope hela kwenye genge moja la hatari ili ananunua mzigo mkubwa, anafanikiwa lakini amepewa sharti baada ya muda fulani arudishe na riba bahati mbaya huo mzigo alionunua unaibiwa bila hata yeye kuuza na ndio alikuwa anautegemea na aliouiba haijulikani ni nani na muda wa kurudisha pesa ya watu unakaribia na yeye pesa Hana unazani Nini kitatokea? Utamu wa movie unaanzia hapa
 
Ngoja niidownload
 
Kitu cha kushangaza kuhus bangi hasa kwa nchi zetu hizi za kiafrika. Ni kuwa inasemwa ni kharam. Ila nikikumbuka namna ambavyo mzigo ukikamatwa na baadae ripoti ikitoka tunaambiwa yalikuwa majani ya kulishia n'gombe...

Nachok kabisa na kujisemea, hakuna biashara kharamu sema wewe hujaingia kwenye system ya biashara hiyo. Utashangaa unapewa hadi escort 😁😁
 
Niliwahi kuvuta bange mwaka 2010 njiani nilikuwa nacheka mwenyewe tu
 
Movie: THE LAST DEAL

jamaa anajiusisha na uuzwaji wa bangi kipindi ambacho haujarasimishwa na serikali ya Marekani na anafanikiwa kupiga pesa sana baada ya serikali kurasimisha rasmi jamaa anakumbana na competition kubwa mno ya hiyo biashara kiasi ambacho biashara yake inashuka na maisha yake kiujumla yanashuka. Hii inampelekea kutafuta njia itakayomrudisha kwenye ramani, wakati haya yanaendea mke wake nae anatongozwa na mwenye hela, Sasa jamaa anaamua akope hela kwenye genge moja la hatari ili ananunua mzigo mkubwa, anafanikiwa lakini amepewa sharti baada ya muda fulani arudishe na riba bahati mbaya huo mzigo alionunua unaibiwa bila hata yeye kuuza na ndio alikuwa anautegemea na aliouiba haijulikani ni nani na muda wa kurudisha pesa ya watu unakaribia na yeye pesa Hana unazani Nini kitatokea? Utamu wa movie unaanzia hapa
Sitarajii kuona mapushabu kwenye hii movie

Ngoja niruke nayo hii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom