Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 8,407
- 28,836
ππππCaptain America Brave New World takataka
Ni ya teens..π
ππππCaptain America Brave New World takataka
LinkIvoivo OZ mkuu
OZ
Huo ujinga mi siangaliagi. Watu wanarusha ngao inaenda kupiga watu halafu inarudi mkononi? Hata mzeeCaptain America Brave New World takataka
Imepoteza radha ile ya Captain America ya mwanzo na inayofuata. In short haipo excited πππππ
Ni ya teens..π
Hatari boss mtu anapaa anaifukuza fighter jet, anarushiwa bomu anatuliza na ngaoπHuo ujinga mi siangaliagi. Watu wanarusha ngao inaenda kupiga watu halafu inarudi mkononi? Hata mzee
Sun Tzu mzee wa kitabu cha art of war hawezi hiyo
ni za ajabu ndio ila me huwa nazipenda movie za super heros, movie za disney naangalia kwa ajiri ya story, huenda nina akili za kitoto sijui πππ maana hata WWE bado nafatilia.Hatari boss mtu anapaa anaifukuza fighter jet, anarushiwa bomu anatuliza na Ngaoπ
Hii sijaicheki bado ni comedy auYour friends and neighbors
Hii series ni nzuri
Kuna comedy kidogo ila kuna mambo ya wizi na usalitiHii sijaicheki bado ni comedy au
Hii sio season 2 hii ni spin yake tuSeason 2 ikoje?View attachment 3331723
Im Negan π€£π€£Season 2 ikoje?View attachment 3331723
Im Negan π€£π€£
Ngoja niirudie hii Kuna watoto wazuri mno humu huyo wa kushoto mtoto wa kiispanyola nilimuonaga Zanzibar akila bata anaitwa PenΓ©lope Cruzkwa mtu alomiss kashkash za wadada, 'the 355' is worth watching japo ni ya '22..!!
View attachment 3332177
Ni kwa sababu ngao Ile imetengenezwa kwa madini ya vibranium yanayoweza kuabsorb vibration na impact yoyote yanayopatikana nchi ya Wakanda, soma kuhusu vibranium ni almost indestructible metal kwenye ulimwengu wa superheroes utaelewa. Ni sci-fi by the wayHatari boss mtu anapaa anaifukuza fighter jet, anarushiwa bomu anatuliza na ngaoπ
ππππNgoja niirudie hii Kuna watoto wazuri mno humu huyo wa kushoto mtoto wa kiispanyola nilimuonaga Zanzibar akila bata anaitwa PenΓ©lope Cruz
Na huyo bibie Jessica Michelle Chastain mzuri mno yaani π π
Ndio mwanangu napenda sana watoto wazuri πππππππ
Hivi Cassano na kwenye maisha ya kawaida huko duniani uko na hizi fantasies pia...!?
Vin na watoto wazuri ni kama watoto wazuri na vin πππNdio mwanangu napenda sana watoto wazuri πππ