Series (Special thread)

Series (Special thread)

Kuna movie inaitwa Departed ya Matt Damon na Di caprio yumo huyu maza bado mbichi mbichi, kila nikiicheki scene anazokuwepo huwa nadindisha tu.
Na kwenye orphan aliupiga mwingi vera famirga pamoja na wale wadogo zake wawili taisa na yule mwenzie Nadia ni wazuri sana hata mie nikiwaona nasimamisha
 
20250509_212628.jpg

Cc dosho12
 
Tupo EP 5 the last of us Cc dosho12
Imenishind baada ya mavitu ya ajabu ajabu
 
Mkuuu una recomend nicheki Band of brothers?
Itafute mkuu ni series kalii sana ukifika kwenye battle of bastone uje kunipa rate yake kwanza EP ya 1 wana wanakula tusi EP ya pili wanaenda kwenye battle aloo sio powa kazi ya jeshi ngumu mno
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom