dosho12
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 3,718
- 9,909
Me final desrination zime niathiri 😆😆Nataka nipunguze kutazama movie, sahii kila nikiwa usawa wa dirishani nahisi nitapigwa risasi ya paji la uso..!!🥹
Me final desrination zime niathiri 😆😆Nataka nipunguze kutazama movie, sahii kila nikiwa usawa wa dirishani nahisi nitapigwa risasi ya paji la uso..!!🥹
View: https://youtu.be/BWLId6QzLc8?si=zYvnYv8h3E7Ma1qS
Ninavyo mjua huyu bidada usikute mwanetu Michael b kapewa utamu 😎
Cc dosho12
Hawa hawaeleweki kaka 😂 😃 😀kashavishwa pete ya uchumba huyo 😆😆😆
Mie naona kawaida sanaMe final desrination zime niathiri 😆😆
haujakuwa kwenye mazingira ukahisi kabisa kifo kinatengenezwa juu yako, 😄😄😄Mie naona kawaida sana
Singo iliyo wahi kunitisha ni ile ya jamaa wa mochwari aliyekuwa akiongea na maiti inaitwa After.Life ya 2009haujakuwa kwenye mazingira ukahisi kabisa kifo kinatengenezwa juu yako, 😄😄😄
Kuna mtu alisema yeye kila akiweka komwe lake kwenye mto kitndani.. Basi anajiona kama the jackal ameshika bunduki anataka kum snipe mtuNataka nipunguze kutazama movie, sahii kila nikiwa usawa wa dirishani nahisi nitapigwa risasi ya paji la uso..!!🥹
BadoKwani hii ngoma imesha ingia kitaa?
Na juzi nae the Weeknd kaisifia mnoDuh mpaka tom cruise anamuapriciate jamaa ni muda sasa apate Oscar, au labda ni member mwezake kwenye dini yao ya scientology
Hii nimemaliza Kali mno
Ina episodes ngapiHii nimemaliza Kali mno
Zipo 10Ina episodes ngapi