Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 8,407
- 28,836
Hiyo last breath inahusu Nini?
Ni true story, na ni nzuri ila msiiwekee matarajio makubwa mtakuwa disappointed, idk kuna namna sikuridhika sijui kwanini..!!Chris Lemons Ni Mpiga Mbizi Wa Kuajiriwa Akiwa Na Wenzake Kwenye Meli Ya Uchimbaji Mafuta.
Gafla, Hitilafu Ya Umeme Inatokea, Na Anaachwa Peke Yake Chini Ya Bahari Bila Namna Ya Kurejea Juu!
Oksijeni Inakwisha – Waokoaji Hawajui Yupo Wapi Haswa