Series (Special thread)

Series (Special thread)

Hii movie inahusu jamaa mmoja kapewa kazi ahakikishe mzigo(mtu anayetafutwa) upo ndani ya ndege aufikishe salama balaa linatokea katika ndege kuna bounty killers kibao wanataka kumuua uyo mtu anaelindwa damu inamwagika sana umu ndani..View attachment 3275430
Movie ya kihuni saana, hahaha yaan sikujua kwann Yule Agent alimpa Kazi ya kuua MTU, alafu kumbe wale wahuni wakwenye ndege wote pia wanataka kumuua yeye...

Hivi aliwakosea nn??
 
images.jpeg

Very emotional🍺, nairudia hata mara kenda 😋
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom