Series (Special thread)

Series (Special thread)

Basi hii inafanana na single inaitwa
Kitu kitu kingine hiki hapa
No Escape kuna boti moja inaitwa Blue ilipatikana australia ikiwa na michirizi ya damu alama za risasi ila hakuna maiti hata moja, ikitokea ufilipino ambapo kulikuwa na watu saba ila aliyebaki ni mmoja hivyo series inaelezea nini kilitokea mpaka akabaki mtu mmoja akielezea akiwa anahojiwa na maaskari.

View attachment 3270265
Inafanana na ile ghost ship
 
20250317_065246.jpg

Cc Carleen Mr Q dosho12 if cap fits
 
Nilikuwa naiona gangs of London alafu naipitaga oya nimekuja kuicheki hii series ni Kali mno, yaani nilivyoimaliza dead 99% nikawa nawaza series ipi nyingine ambayo inavibe Kama hiyo dah Kama masiala nikaanza na gangs of London oya ni konyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom