Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,240
- 79,786
Ok,Sio mwendelezo hii inamuhusu huyu bidada ballerina john atakuwepo kama msaidizi wake
Ina ratings kubwa IMBD, naiweka kipolo hadi kesho nitaishusha, ngoja nimalizane na SnowfallBLACK BIRD
Ni series kali ukiachana na hizi zinazovuma hii inahusiana na jamaa anaitwa Jimmy ni drug dealer, polisi wanafanikiwa kumkamata na anaenda jela baada ya kwenda jela Police wanaingia naye makubaliano ya kwamba anatakiwa aamishwe kwenye jela nyingine ambayo ina mtu polisi wanaemtafuta huyo inadaiwa kaua watu 14 na kawazika so muhuni anapewa kazi yakumjua huyo mtu na kujua hizo maiti alizozika huyo jamaa.Muhuni anapewa kazi yakumdhibiti muhuni mwingine unazani Nini kitajili na akifanikiwa polisi itamuachia huru ifuatilie hii series
Vincenzo Jr
Mr Q
Edo kissy
sumbai
Usipende sana kuangalia ratings sometimes zinadanganya mimi nikiangalia short story ya movie najua tu hii ni Kali kama hiyo nimeangalia kupitia story na trailer lake nikqjua hii ni kisangaIna ratings kubwa IMBD, naiweka kipolo hadi kesho nitaishusha, ngoja nimalizane na Snowfall
Seems to be a realdeal!!!!BLACK BIRD
Ni series kali ukiachana na hizi zinazovuma hii inahusiana na jamaa anaitwa Jimmy ni drug dealer, polisi wanafanikiwa kumkamata na anaenda jela baada ya kwenda jela Police wanaingia naye makubaliano ya kwamba anatakiwa aamishwe kwenye jela nyingine ambayo ina mtu polisi wanaemtafuta huyo inadaiwa kaua watu 14 na kawazika so muhuni anapewa kazi yakumjua huyo mtu na kujua hizo maiti alizozika huyo jamaa.Muhuni anapewa kazi yakumdhibiti muhuni mwingine unazani Nini kitajili na akifanikiwa polisi itamuachia huru ifuatilie hii series
Vincenzo Jr
Mr Q
Edo kissy
sumbai
Inashawishi kuifukuaView attachment 3281200
FOREVER
Ya 2014. Jamaa medical examiner wa polisi. Ana miaka zaidi ya 200 kwa sababu hawezi kufa. Kila akifa anafufuka. Hazeeki. Hata kazi yake anaifanya ili apate kujua namna ya kufa...
Anajikuta anatumia ujuzi wake wa historia na udaktari kusaidia polisi kukamata wauwaji. Walitengeneza season moja tu ya episodes 22. Nimefika ya 10. Ni nzuri kwa kweli.
Ijaribu. Iko poa.Inashawishi kuifukua
Yule jamaa kabla alipewaga kazi amlinde kigogo mmoja ivi wa serikalini sasa yule kigogo fantasy yake ni kusex na wadada wadogo uku anawapiga nini asa yule jamaa(star) hapendi izo akamuua ubaya ukawa jamaa alieuliwa ana ndugu yake anacheo CIA akawa anamtaka jamaa alieua apo ndo maana jamaa alikubali ile kazi ya pili ili apewe uhuru wake.Movie ya kihuni saana, hahaha yaan sikujua kwann Yule Agent alimpa Kazi ya kuua MTU, alafu kumbe wale wahuni wakwenye ndege wote pia wanataka kumuua yeye...
Hivi aliwakosea nn??
Hii inapatikana website ipi mkuuHumu Kuna fujo mno
View attachment 3270066
InaitwajeBaada ya Breaking Bad naona hii inafuatia aisee nilikuwa wapii??
View attachment 3281562
SnowfallInaitwaje
Mbona kila nikitaka kuianza naona uvivuSnowfall
Ukianza huiachii hadi unaimaliza😎Mbona kila nikitaka kuianza naona uvivu
Ila sipendi movie za mablackSnowfall
MM npo episode ya 2 tu ila natamani hata nisiimalize bonge moja la series maana ina vitu mule ninavyovikubali sanaParadise ni overrated tu hamna kitu pale,,
Mtu akiambiwa series kali anawaza mangumi na marisasi, wakati siku hizi storyline na drama ndio kila kitu.MM npo episode ya 2 tu ila natamani hata nisiimalize bonge moja la series maana ina vitu mule ninavyovikubali sana