Series (Special thread)

Series (Special thread)

Movie hii jamaa mmoja alikuwa kama kichaa anateka wanawake anachinja, Kosa moja alilofanya ni aliua mke wa afisa usalama jamaa alieuliwa mke akaomba likizo kazini kwake kumsaka muuaji, alivyofanikiwa kumpata alimpa mateso akamuacha na GPS mwilini akawa anamfatilia akimkamata tena kipondo alaf anamtibia anamuacha..

Balaa mbeleni jamaa alijua kawekewa GPS akafanikiwa kuitoa mtiti wake sio mdogo

NB:Movie ni single ya kiKorea View attachment 3279038
Umenikumbusha kesho naidownload niangalie tena
 

Attachments

  • Screenshot_20250321_233105_OnStream.jpg
    Screenshot_20250321_233105_OnStream.jpg
    430.9 KB · Views: 15
Hii movie inahusu jamaa mmoja kapewa kazi ahakikishe mzigo(mtu anayetafutwa) upo ndani ya ndege aufikishe salama balaa linatokea katika ndege kuna bounty killers kibao wanataka kumuua uyo mtu anaelindwa damu inamwagika sana umu ndani..View attachment 3275430
Downloading right now thnks

Hold on lugha humu ni German?
 
Sometimes hizi tamthilia za kiswahili unaweza usizielewe ila kuna siku nilikua sina kazi nikaangalia KitimTim ya DStv aisee niliipenda sana.. Pili anajua sana kuigizia na alijua kunifurahisha.
Sure sometime zinavutia sana ila hii Kombolela humo ndani watu wanaongea sijapata kuona🙌🏾😅 kuna uyo mwanamke anamaneno mpaka najiuliza hivi maneno haya yapo kwenye script kweli??
 
Hii Gangs of London ina wahuni daraja la kwanza
Kuna mwamba anaitwa Luan nilikuwa namchukulia poa aliwafyeka wanaigeria kwa dk tu

Vile me ndo navyopenda yaani mkuu wa kundi nae awe Mafia kwelikweli sio tu kwenye kuua kwa kupiga risas hata mkono kidogo upo mfano kuna muhun anaitwa Kai Proctol kwenye Banshee yule jamaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom