Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,233
- 79,760
Ile ni western 😄😃Hata dope thief na paradise pia ni nzuri nimezicheki ep mbili mbili ila naona zinaende vizuri,
ila ile 1923 bado haija nishawishi naona wazee tu
Ile ni western 😄😃Hata dope thief na paradise pia ni nzuri nimezicheki ep mbili mbili ila naona zinaende vizuri,
ila ile 1923 bado haija nishawishi naona wazee tu
Jina linanivutia kuitafuta
Hawa wameyatimba aisee nasubiria EP ya 3
Nzuri sana hiiJina linanivutia kuitafuta
Mzigo unacheki hauna maajabu yoyote na unakuta una rating ya 5.8 halafu unakuja humu unakutana na "series kali sana hii" 😂😂😂😂😂😂Mwamba hanaga baya huyu, ye kila movie au series ni kali 😂😂😂
Nipe story yake kidogo Cassano..!!
Ngoja kwanza nishushe ile nyingine
Ina muhusu dogo anaitwa Jamie miller wa miaka 13 ambae alikamatwa kwa kumuua mwanafunzi mwenzakeNipe story yake kidogo Cassano..!!
Hyo ni nzuri nimeicheki tu ep moja ila ni kaliNgoja kwanza nishushe ile nyingine
defending jackob
Inataka kufanana na ile defending jacobIna muhusu dogo anaitwa Jamie miller wa miaka 13 ambae alikamatwa kwa kumuua mwanafunzi mwenzake
Je wazazi wake watafanyaje itafute mwanangu ni series kalii sana
Shukrani sana mkuu kwa mrejesho 😎😎Hyo ni nzuri nimeicheki tu ep moja ila ni kali
Exactly 💯 Ongezea na your honorInataka kufanana na ile defending jacob
Alafu ile black bag mbona naitafuta siipati haijatoka bado auShukrani sana mkuu kwa mrejesho 😎😎
Ipo cinema kwanzaAlafu ile black bag mbona naitafuta siipati haijatoka bado au
Dah kwa hyo sisi wa bure tusibiri kwanzaIpo cinema kwanza
😃😄😄Dah kwa hyo sisi wa bure tusibiri kwanza