Series (Special thread)

Series (Special thread)

View attachment 3274322
Ulishaangalia hii movie ya 2015, mashujaa walikwenda kuvua nyangumi kwenye bahari kuu, wakitokea mashariki ya marekani - Atlantic Ocean wakazunguka hadi amerika ya kusini na kuja kuitafuta magharibi ya marekani - Pacific Ocean, ndipo wakakutana na nyangumi mkorofi...
Hii ngoma niliiona. Walikua wanasafiri kwa lengo la kutafuta mafuta ya papa, kipindi hicho yalikua na thamani sana. Ni single nzuri mnoo.. white whale aliwasumbua sana!
 
S04E07.jpg

Kitendo alichokifanya Alton William kuongea Na huyu paparazzi kilitosha kabisa kupigwa chuma na mwanawe Franklin Saint au na yule CIA agent. Ila familia ina nguvu sana huyu mzee amesalimika😅. Ngoja niishushe season 5 Snowfall nione nini kitamkuta huyu mzee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom