Guacamole
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 6,079
- 16,035
Hii mbona watu walishapita nayo muda sanaMzigo mwingine huu apa story nzuri ngumi,risasi, mapenzi kidogoView attachment 3275431
Hii mbona watu walishapita nayo muda sanaMzigo mwingine huu apa story nzuri ngumi,risasi, mapenzi kidogoView attachment 3275431
Nimeicheki movie ni nzuri, napenda zile horror movie ambazo ma villain ndio huwa wanashinda 😁😁Basi hii inafanana na single inaitwa
Inafanana na ile ghost ship
Nishaicheki kitambo sanaLow budget story ni kali
Tafuta after math
Mrejesho?Ngoja niidownload hii 😎
Kubabeq moja ya series zangu pendwaSijui hii mliizingatia , Season 2 ipo njiani inakuja
Bonge la movie nimechaicheki ila naogopa kuifuta ni kama siitendei haki kuifutaMzigo mwingine huu apa story nzuri ngumi,risasi, mapenzi kidogoView attachment 3275431
Nimeicheki EP 3 tu ni series kalii sana Leo saa 4 usiku napiga EP ya 4Mrejesho?
Nimeicheki EP 3 tu ni series kalii sana Leo saa 4 usiku napiga EP ya 4
Salama Kabisa Mkuu.Kwema kabisa mkuu
Za siku kaka..
Umeileta wakati mwafaka nilikosa Anime ya kuangalia nikawa na solo na Sakamoto tuu
Umetisha sana
Naunga mkono hoja mkuu hiki chuma kikali sana
Imdb ni wahuni tu Kuna mpaka movie na series Zina rate ya 4 na ni Kali piaIMDB kuna muda wahuni tu wameipa rate ya 5.9%
Gotcha nitaipakua iyoHapana, ila some story ya real cartel deals
Hii mbona watu walishapita nayo muda sana
watu mpo speed sanaBonge la movie nimechaicheki ila naogopa kuifuta ni kama siitendei haki kuifuta
nb;Humu hamna ngumi kiazi wewe halafu siku hizi hatutafutani..

ilo suala la kutofuta movie kuhisi huitendei haki lipo kwa wengi kumbe
Hii ni kweli ni series Kali ila inaniboa wanatoa episode 1 kila jumapili
Mimi nashindwa kuivumilia Kila ikitoka EP Moja napita nayoHii ni kweli ni series Kali ila inaniboa wanatoa episode 1 kila jumapili
Hata dope thief na paradise pia ni nzuri nimezicheki ep mbili mbili ila naona zinaende vizuri,Naunga mkono hoja mkuu hiki chuma kikali sana