DR SANTOS
JF-Expert Member
- Mar 11, 2019
- 13,892
- 31,095
Low budget story ni kaliHounds of war ..
movie ya kawaida
Tafuta after math
Low budget story ni kaliHounds of war ..
movie ya kawaida
Bila kuchoka hutojutia bando lakoKwakuanzia sio mbayaView attachment 3270237View attachment 3270239
Kaka hapo inakuwa umeyatimba yaani hakuna kurudi ulipo Toka ukijifanya mbishi umeisha vibaya mno 😀 😀 😃
Hio sio from kweliKaka hapo inakuwa umeyatimba yaani hakuna kurudi ulipo Toka ukijifanya mbishi umeisha vibaya mno 😀 😀 😃
SahihiLow budget story ni kali
Tafuta after math
ivi kuna series kali kuwai kutokea kama prison break . hii ndyo best of all time
https://kinogo.org/12212-mertv-na-99.htmlIchekini hii serious Kali sana ni ya kirussiView attachment 3264416
Inahusiana na jamaa moja ambaye ni criminal ambaye ameshakinukisha kwenye makundi ya kigaidi na vile vile anatafutwa na polisi so mara nyingi kukwepa kukamatwa au kujulikana huwa anaamua kujibadilisha sura kwa kufanya surgery Sasa akaamua kuchukua sura ya mfanyabiashara fulani ambaye Hana Mambo ya kiharifu kabisa, huyo mfanyabiashara anajikuta anaingia kwenye balaa zito kwa sababu ya yule criminal kuchukua sura yake na kufanya matukio ya kiharifu. Yaani hii series inahamshahamsha mwanzo mwisho ni Kali sana
Vincenzo Jr
Mr Q
Alaah kumbehttps://kinogo.org/12212-mertv-na-99.html
Яндекс — поиск по видео
Shughuli inabaki kwenye subtitles, kama lugha ya MUCH KNOW Putin inapanda, rukeni na hizo links.
imeisha?View attachment 3270112
Hutajutia
Hii ni single movie mkuuimeisha?
Ni yenyewe hiyoHio sio from kweli
Ngoja niidownload hiihttps://kinogo.org/12212-mertv-na-99.html
Яндекс — поиск по видео
Shughuli inabaki kwenye subtitles, kama lugha ya MUCH KNOW Putin inapanda, rukeni na hizo links.
😂😂😂Alaah kumbe
MUCH KNOW= MACHINOO
😁
Utaangalia bila subtitles mkongwe!?Ngoja niidownload hii
Nitaitafutia mkuu kwa kutumia VLC au mx playerUtaangalia bila subtitles mkongwe!?
Ukifanikiwa hii njia yako nijulishe na mimi niishushe.Nitaitafutia mkuu kwa kutumia VLC au mx player
Sawa bosi ila hii lazima ikubali tuUkifanikiwa hii njia yako nijulishe na mimi niishushe.
Nipo nayo live hapa sema hii inatakiwa uwe na idm ili inase link chapuUkifanikiwa hii njia yako nijulishe na mimi niishushe.