Series (Special thread)

Series (Special thread)

Sanctum_Poster.jpg

Kuna hii movie ya 2011, inahusu kundi la watalii walikwenda kulichunguza pango lipo Papua New Guinea. Wakati wapo chini kwenye mfereji wa maji mmoja wao akapatwa na shida kwenye kifaa chake cha kupumulia.... Ni adventure moja kali sana.
 
View attachment 3274101

Hiki chuma sio powa hii inafaa mwanangu Carleen apite nayo
 
Hio inafanana na hii
Old ya 2021 yupo yule jamaa aliye encode annimation ya mufasa the lion king

Jamaa wanaenda na familia vaccation kwenye kisiwa fulani wanakuta muda unakimbia kuliko kawaida yaani mtu anapata mimba ndani ya lisaa kashajifungua wanaenda watoto wanarudi na mvi😀😀
 
Attachments

  • CBBF5A60-EA1F-479B-8619-5CBEB8933762.jpeg
    CBBF5A60-EA1F-479B-8619-5CBEB8933762.jpeg
    296 KB · Views: 12
Hiki chuma sio powa hii inafaa mwanangu Carleen apite nayo
In_the_Heart_of_the_Sea_poster.jpg

Ulishaangalia hii movie ya 2015, mashujaa walikwenda kuvua nyangumi kwenye bahari kuu, wakitokea mashariki ya marekani - Atlantic Ocean wakazunguka hadi amerika ya kusini na kuja kuitafuta magharibi ya marekani - Pacific Ocean, ndipo wakakutana na nyangumi mkorofi...
 
View attachment 3274322

Unapenda sana mystery na adventure
Ngoja niishushe hapa
 
View attachment 3274322
Ulishaangalia hii movie ya 2015, mashujaa walikwenda kuvua nyangumi kwenye bahari kuu, wakitokea mashariki ya marekani - Atlantic Ocean wakazunguka hadi amerika ya kusini na kuja kuitafuta magharibi ya marekani - Pacific Ocean, ndipo wakakutana na nyangumi mkorofi...
Mkuu hii bado ngoja niidownload hii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom