Series (Special thread)

Series (Special thread)

Ina muhusu dogo anaitwa Jamie miller wa miaka 13 ambae alikamatwa kwa kumuua mwanafunzi mwenzake
Je wazazi wake watafanyaje itafute mwanangu ni series kalii sana
Nilicheka juzi wadau wanasema kila series una recommend 'ni kali sana'..!! but trust me mwanangu hujawahi niangusha, maana ningekusimanga mno..!!
 
Chagua moja Cc Mr Q Carleen dosho12 if cap fits
20250319_101312.jpg
20250319_101258.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom