Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,030
- 95,555
icheki ni kali kinyama, kqa series za ulaya ni top1Yeah nmemrudisha
Hapana sijaiona iyo naisikia tu.
icheki ni kali kinyama, kqa series za ulaya ni top1Yeah nmemrudisha
Hapana sijaiona iyo naisikia tu.
Niliiona trailer yake nikapenda..
you must be kidding me...!!🤭Ipo online mda huu mwanangu 😎😎😎
Mimi nimeshindwa kuivumilia hapa namalizia EP ya 2 nikimaliza niende bar kupiga bia zangu nne nirudi zangu kulala 😃😀Niliiona trailer yake nikapenda..
Naomba niisubirie kwanza ijae jae tafadhali, episode mbili tu..?? hiyo ni addiction..!!
Hii hapa mwanangu EP 8 za moto wallah 😎you must be kidding me...!!🤭
Yani mwaka huu wanapachika vitu tu hakuna kupeana break
Hakuna kupoa kaka 😂 😃Yani mwaka huu wanapachika vitu tu hakuna kupeana break
Sawa kaka 😎Nimemalizana na Peaky Blinders, sasa nipo na Snowfall huku nainyonya mdogomdogo The Rookie. Naomba mkuu Vincenzo Jr hii new season ya Power Raising Kanaan ikifika Pirates bay tushtuane
Hii kali sanaHumu Kuna fujo mno
View attachment 3270066
Ni mwezi wa toba huu Cassano...Mimi nimeshindwa kuivumilia hapa namalizia EP ya 2 nikimaliza niende bar kupiga bia zangu nne nirudi zangu kulala 😃😀
Hii ni one bhaana Cassano,Hii hapa mwanangu EP 8 za moto wallah 😎
Yeah 😎😎 series Kali sana hiiHii ni one bhaana Cassano,
Kabisa 😎 😄 😃Ni mwezi wa toba huu Cassano...
Nilikuambia nasubiri season 2, kumaanisha 1 tayari nilishapita nayo,Yeah 😎😎 series Kali sana hii
Kabisa maana jana niliwaka mapema sana mwanangu 😎Nilikuambia nasubiri season 2, kumaanisha 1 tayari nilishapita nayo,
Nakubaliana na wewe ni kali mno..
una hakika hukuwa ushatundika masanga Cassano..?
Inaitwa darkUna maanisha dark city the cleaner?
From halafu hapo wanatokea kunguru wale😀😀