Series (Special thread)

Series (Special thread)

Sheeeedah.... Nahisi itakuwa ni Series kali ya kufungia mwaka hiii.. Japo mpaka sasa zimetoka Episode 3 tuuu....

Mkuu nipe intro kabla sijagoogle unahusu nini

Na vipi ina ishu za supernatural power?
 
Ya mapanga niliyoipenda ni jumong..lakini game of throne imenishinda kabisa..
ukitaka kuielewa game of throne ujitahidi isikupite hta scene moja yaan ukiongea na simu weka pause nk na maneno uyaelewe vizuri sana wanayozungumza ni vizuri ukadownload na subtitle yake ili uielewe zaidi na season 2 mwishoni ndo inaamza kuchanganya ni moja kati ya seriez kari sana km ilipoishia sa hv JON SNOW kama kafa najiuliza itakuaje na jeshi la wafu ndo linazidi kukua nahisi utamu unazidi kukolea
 
Tatizo game of thrones inanikata stimu wale main characters ndio wakufa kila season
 
Mmeshatazama LEGENDS (2014)? Kuna kichwa kinaitwa Martin Odum undercover Agent mwenye uwezo wa kubadili character na kuwa mtu mwingine wakati wowote, sifa inayomfanya awe mtu muhimu kabisa kwa FBI hasa katika matukio hatari. Hii kitu nimeipenda bureee, S02 ndo imeisha na ndo last season

Kama hujaipata fanya kunichek private
 
Banshee naikubali sana ni series y kimafia n ver intelligent
 
Kuna series mpya zimetoka naona zitakua nzuri....colony na beuworf the return into shieldland.
 
The book of negroes.
Almost human.
The tyrant.
The 100's.
The Sopranos.
6 feet deep.
For better or worse.
Have and have not.
Dominion.
The firm.
 
Naona safari hii kwenye Blind spot Mzee mzima Sullivan Staplaton sio mgegedaji sana tofauti na kwenye Strike Back jamaa anagegeda sana kule mpaka aibu kuangalia ile picha na watoto
Haaahh mi mwenyewe nilipomuona jamaa nikajua shida tayari,Lakin naona katulia sana, kama vip amgegede yule dada wa computer...
 
dah kuna series hazikuiendelea kama missing, vanishing, crisis, hostages.. nashindwa kuelewa nn tatizo yan nilizielewa sana yani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom