Ni kweli season ya kwanza imeisha tusubili ya 2 lini itatoka @Da vinc
Mkandara,
Castro amenasa kwenye kile wanaita "time warp." Mapinduzi yake yalikuwa ya kihistoria lakini ameshindwa kupiga hatua sawa na mabadiliko kwingineko ulimwenguni. Si kwamba akane sera zake, la hasha, lakini atambue tu kwamba ulimwengu wa sasa sio ule wa mwaka 1958 na arekebishe mwelekeo wa nchi yake na kwamba mapinduzi ya wakyuba si ya uongozi wa mtu mmoja tu. Lakini vinginevyo amekuwa kiboko.
huu uzi nimeupenda bure. imenifanya nianze kuwa mfuatiliaji wa series, mpaka sasa nimeshafuatilia The last ship na nilianza Into the Badlands kimya kimya baada ya kuona sifa zake humu hakika nimesuuzika moyo
Series kali zaidi ni Dae Jo Young..chek t out!
mkuu sunny ni mkali aseee wale wachumba tu kwake
mmmmh mbona imekuwa fupi ivo? imeishia pazuri sana kiukweli.
Sunny nilijua ndo mkali wao kumbe kuna wababe zaidi yake.
Wakuu kuna ambae amecheki homeland season 5 atupe mrejesho kama imechangamka. Maana season 1-3 zilikua zinaniboa sana ila season 4 ilichangamka, mission za kutosha.
Blindspot ,Agent x na American Odyssey zitakufaa sana
Blindspot ,Agent x na American Odyssey zitakufaa sana
mkuu sunny ni mkali aseee wale wachumba tu kwake
hahaha wale ma monk walikuwa washapigwa bila kutumia njia mbadala walikuwa hawachomoki kwa sunny
season 2 itakuwa nzuri sana
inavyoonekana Sunny nae anamauwezo kama yao ila hajajijua jinsi ya kuyaamsha hayo mashetani ila jamaa alijitahidi kuwabana sema walitumia 'goli la mkono'
Series kali zaidi ni Dae Jo Young..chek t out!
Yes! hiyo naikubali nimeshaiona. Ingalie na hii Emperor Wang Gun at Dramanice Imechezwa na huyohuyo jamaa, Choi Soo Jong.
Yes! Korean drama.Hizo Korean movies au? Mbona hamjibu
Episode ya 7 bado haijatoka tu wakuuHahaha goli la mkono waliogopa kutiwa aibu
Kuna mdau humu niliona kama aliandika kwamba ep06 ilikuwa Ni ya mwisho kwa s01. Hapa ni kuvuta subra kwa s02 tu hakuna namnaEpisode ya 7 bado haijatoka tu wakuu