Series (Special thread)

Series (Special thread)

THE EVENT ni series matata sana kuwahi kuitazama inanoga sana unaweza ht kuunguza mboga.Ni series inayohusu watu walioanguka huko Alaska marekani jeshi la marekani likawakamata na kuwa quarantine kwa miaka mingi bila kujua chanzo chao ni nini na wametokea sababu hawakutoa siri kabisa.katika idadi yao kuna ambao waliweza kukimbia na wengine kubaki baada ya ajali.hawa watu ilionekana DNA zao imetofautiana na binadam kwa 1% yaani wao hawazeeki.hvyo lile kundi lililotoroka liliweza kujichanganya na watu kawaida uraiani jeshini fbi cia hadi firstlady wa amerika.ila haina season 2 tu
 
BANSHEE.hii series ex-con ambaye alikuwa mwizi wa akili nyingi alifungwa miaka 15 baada boss wake kujua jamaa anakula mtt wake hvyo alimtuma jamaa akaibe shm then akamuuza kw polisi.huko gerezan boss akamtumia wababe wa gerezani kila siku apewe kipigo n kulawitiwa ila jamaa alipambana hakuliwa hadi anatoka jela.alivyotoka akaanza kumtafta mpenzi wake ambae kashabadili jina ili asijulikane na yyte ikiwamo babaake.ili jamaa aweze kuishi ikabid achukue cheo na jina la lukas hood ambae aliuwawa kabla hajafika kituo cha kazi.hapo inanoga bana ipo hd season4
 
Ipo moja inaitwa 12monkeys. Ni nzuri hatare. Pia kuna nyingine inaitwa legends
 
Zinapoteza mwelekeo na kuishia
Cku zote series nzuri zinakuwa cancelled cjui kwann???
Kukosa high ratings kutoka kwa watazamaji na isitoshe kuna series kibao nzuri hence competition kwene tv. Mfano mzuri nasikia 'supergirl' kidogo iwe cancelled bse ilianza kuchelewa "kufunguka" na ikapelekea kuanza kupata low ratings kutoka kwa watazamaji so ikapelekea directors kutoa episode flani iloirudisha hewani ( ya 7 kama sijakosea) iliyoifanya ivutie and hence haikuwa cancelled.
 
Naikumbuka Tomorrow people ilivyokuwa tamu alafu waka cancel
 
Wanajamvi vip kuhusu series za kikorea hizi naweza kuzipakulia wapi torrent nimetafuta sijazipata
 
The unit
Sleeper Cell
Covert Affairs
The Americans
Homeland
24 Hrs
Lost
Prison Break
Blind Spot
Usipimeeeeeeeee!!!!!
 
BANSHEE.hii series ex-con ambaye alikuwa mwizi wa akili nyingi alifungwa miaka 15 baada boss wake kujua jamaa anakula mtt wake hvyo alimtuma jamaa akaibe shm then akamuuza kw polisi.huko gerezan boss akamtumia wababe wa gerezani kila siku apewe kipigo n kulawitiwa ila jamaa alipambana hakuliwa hadi anatoka jela.alivyotoka akaanza kumtafta mpenzi wake ambae kashabadili jina ili asijulikane na yyte ikiwamo babaake.ili jamaa aweze kuishi ikabid achukue cheo na jina la lukas hood ambae aliuwawa kabla hajafika kituo cha kazi.hapo inanoga bana ipo hd season4
Mkuu hivi Banshee ndo iliisha hiyo sO4 au iliendelea kwani niliiangalia sana hiyo kitu na nakumbuka niliishia hiyo season
 
Tyrant naona season 3 itakuwa noma maana jamaa wanataka awe rais wao ila waarabu wanaipiga marufuku kwakuwa inawadharilisha wanasema wao hawatawali kihivyo...tho Power ni noma 50cent kamuua mjomba wake je atakutwa na hatia je mke wa ghost atachukua hatua kani baada yakukuta kinda lake limeuwawa nadhani in season 3 itakuwa na majibu!
Mkuu tyrant season 3 torrent washaiachia?
 
Ebu tizamen hizi

1) Marvel daredevil
2) Marvel agent carter
3) Hannibal
4) The robot

Ndo kwanza zpo S01....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom