kidi kudi
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 2,482
- 2,088
Sikutaka nikujibu lkn imebidi. wewe utakuwa mpenzi wa movie za aina flan flan ..
lkn flash ina test yake
kiukweli the flash episodes 2 nikashindwa kuendelea, sio type ya kile nikipendacho. ila kila mmoja na ladha yake, ndo maana nkasema Arrow nayo inataka kunishinda sasa itabidi nibaki na into the the badlands huku nikizisubiri tyrant + the 100