Karibu tena mkuu...
American culture is the dominant world culture.
USA baby:usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2:
Punguza mapenzi kwa US kidogoo😀😛😀,maana comments zako kule kwenye thread ya Turkey kushusha SU ya Russia daaah
Mkuu hii kitu nimetafuta kwenye torrents napata ep. ya pili tu, ya kwanza haionekani!
Tusaidiane link: into the badlands
Hata mimi naona Eposode 2 peke yake
Into the badlands episode 3
Hii kitu kali sana aisee
Hii kitu kali sana aisee
kati ya hizo ulizotaja nishaangalia breaking bad na prison break, breaking bad sio mchezo ila kuna hii inaitwa the boardwalk empire na the sopranos hizi zitafute pia kaka ni shidaaanimetafuta humu sikuona special thread kwa ajili ya series ila movies.
Kwa wale wapenzi wa series tujadili hapa series tulizoona na ilivutia,pia wengine ambao hatujui baadhi ya series tunaweza kupata hapa majina ya series mpya.
Kwa upande wangu hizi ni baadhi ya series nilizongalia na zimenifurahisha.
1.leverage
2.breaking bad
3.prison break
4.burn notice
5.lost
6.revolution
7.how to make it in america
8.how i met your mother
9.martin
10.community
11.walkind dead
hizo ni baadhi tu..
kati ya hizo ulizotaja nishaangalia breaking bad na prison break, breaking bad sio mchezo ila kuna hii inaitwa the boardwalk empire na the sopranos hizi zitafute pia kaka ni shidaaa
kati ya hizo ulizotaja nishaangalia breaking bad na prison break, breaking bad sio mchezo ila kuna hii inaitwa the boardwalk empire na the sopranos hizi zitafute pia kaka ni shidaaa
Hiyo boardwalk empire ninayo ni kali,nilidownload bahati mbaya nia yangu ilikuwa kudownload empire,ni kali sana,nimeangalia season zote 3
Ishaisha siku nyingi pia niliona actors wake wakihojiwa na walisema rasmi imeisha,niliipenda sana but tangu nijue Neil nishoga nimepoteza kabisa ham ya kuangalia
Umeona eeh nilivyojua ni shoga nikaacha kuangalia,anapendeza akiwa straight sijui nikishaona mtu gay naumia
Tyrant na power umezicheki?