Series (Special thread)

Series (Special thread)

into the badlands Ni nzuri ninAifuatilia ila naona kiza huko mbeleni kwani yule Dogo M.K anazidi kuji-expose sana na kumuweka Sunny kwenye wakati mgumu. ipo vizuri so far

Hapo wazungu wanakwambia let the game begin.
 
Kazi ipo asee ni ngumu sana kuitabiri hii series

Mbaya zaidi ni Quinn kumwambia manze wa sunny kuwa sunny ndio kawamaliza wazazi wake kwa upanga wake. Yaani jamaa kamuuzia kesi sunny Sijui itakuaje na manze kaonekana kumuamini Barren
 
Mbaya zaidi ni Quinn kumwambia manze wa sunny kuwa sunny ndio kawamaliza wazazi wake kwa upanga wake. Yaani jamaa kamuuzia kesi sunny Sijui itakuaje na manze kaonekana kumuamini Barren

Mi nnavyofikiri Sunny atashindwa kutoroka kwenda anakotaka kwenda, sanasana anaeza kwenda kuungana na yule mama the widow kwani kwa Barren ameshaharibu. Ngoja tuone
 
Mi nnavyofikiri Sunny atashindwa kutoroka kwenda anakotaka kwenda, sanasana anaeza kwenda kuungana na yule mama the widow kwani kwa Barren ameshaharibu. Ngoja tuone

Bila shaka sunny anaweza ishika badland kama kiongozi i mean barren
 
Nilikumith....
Hii ni ya ngumi mama tena na mapanga kwa wingi😁

Mith you too, upo?
Khaaaaah! Mie na mapanga mbali mbali kabisaaa! Nataka kitu cha dush dush...., hahaaaa nyingine nzuri km quantico ni ipi?
 
Into the Badlands yafikia tamati season 1 ikiwa na episode 6 ila ni utaratibu wa AMC kumaliza season ikiwa na episode chache kama walivyoanza na Walking dead
 
SASA RASMI;

Kwa mahitaji ya MOVIE na SERIES kali, nitafute kwa +255688736202 (WhasApp)

Hata kama imetoka asubuhi mchana unaipata....Mikoani tunatuma.....Bei inapungua kulingana na ukubwa wa mzigo

....Wahi punguzo la Sikukuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom