Series (Special thread)

Series (Special thread)

Ebu tizamen hizi

1) Marvel daredevil
2) Marvel agent carter
3) Hannibal
4) The robot

Ndo kwanza zpo S01....
1.Iyo hannibal nilishindwa angalia. Nilihadithiwa kwamba jamaa analisha watu nyama ya binadamu. Hatare
2. Mr. Robot bonge la dude. Bora hata wameliirenew for season 2 kabla hata season 1 haijaisha.
3.,marvel's daredevil ni bonge la dude. Jamaa na upofu wake katisha. I cant wait to kuangalia season 2 ifikapo Mwez wa tatu
4. Marvel's agent carter haikunivutia kuichek bse imekaa kaa kizamni zamani nahs (1940's) na pia episode ni chache (8). Labda nitajaribu tena.
 
Kwa wapenzi wa comedy zipo
1. Brooklyn nine nine
2.fresh of the boat
3. Blackish
 
Okey nitakuja baba maana nafurahigi sana tukiangalia movie pamoja, are you watching quantico?
i've watchet it already..Nipe nyingine..I know we have the same taste in series lol
 
1.Iyo hannibal nilishindwa angalia. Nilihadithiwa kwamba jamaa analisha watu nyama ya binadamu. Hatare
2. Mr. Robot bonge la dude. Bora hata wameliirenew for season 2 kabla hata season 1 haijaisha.
3.,marvel's daredevil ni bonge la dude. Jamaa na upofu wake katisha. I cant wait to kuangalia season 2 ifikapo Mwez wa tatu
4. Marvel's agent carter haikunivutia kuichek bse imekaa kaa kizamni zamani nahs (1940's) na pia episode ni chache (8). Labda nitajaribu tena.
Well done mkuu...mie npo daredevil ssa iv nataka niimalizie then nianze na mr robot
 
i've watchet it already..Nipe nyingine..I know we have the same taste in series lol

Are you sure its only in series??
Ile episode ya mwisho ilinichanganya alafu dogo kaifuta, itabidi niidownload upya niicheki, tatizo ina flash backs nyingi mnoooo khaaah!! Episode ya 11 si ndio ya mwisho? Au imeendelea?
 
Teh teh..In a lot of things..
Yeah..Ya 11 ndo ya mwisho kwa season 1
 
Mkuu tyrant season 3 torrent washaiachia?
Hii niliona mahali itaanza tena Jan 2016 s03. nilitumia muda huu wa holiday ya Dec kuiangalia imefikia pazuri sana. pia niliona kama wanataka kuipiga chini nikasikitika sana hope itaendelea.
zingine zilizonibamba na nasubiri muendelezo wake this Jan Ni pamoja na The last ship, The 100.
 
The bridge- marco luiz, sonya cross, David Tate, charote, nmetokewa kuvutiwa na hyo movie japo sio kali sana, imeniudhi sana pale Marco Luiz aliposhindwa kumuokoa mwanaye Gus alipotekwa na David Tate na mpaka kufikia kupoteza maisha. Inavutia kiaina, kuna visa vya mauaji na madawa.
Inamchanganyiko wa america na mexico
 
Hii niliona mahali itaanza tena Jan 2016 s03. nilitumia muda huu wa holiday ya Dec kuiangalia imefikia pazuri sana. pia niliona kama wanataka kuipiga chini nikasikitika sana hope itaendelea.
zingine zilizonibamba na nasubiri muendelezo wake this Jan Ni pamoja na The last ship, The 100.
The 100 tupo pamoja mkuu...... Ukiianza huachi. Jan 21 itakua Tuesday I think season 3 episode ya kwanza itakua hewani
 
Kuna series mpya imetoka ndo kwanza episode ya kwanza inaitwa Second chance kidogo imenivutia.
 
Nilikuwa naangalia Trailer ya hii The Flash.. Nakutana na sura ya Oliver Queen na mishale yake.. Kwa walio iona naomba feedback kidogo.....? real G Viol
Kali mzeee...mi niliicheki kuna baadh ya episodes wanazichanganya na arrow
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom