Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 22,732
- 29,988
Ndiyo maana tunataka Katiba Mpya.Hivi Rais Samia anaanzaje kuanza kuwakamata waliomshambulia Lissu mwaka 2017 kwa namna anavyomtukana majukwaani.
Hili jitu kweli lilishambuliwa na watu wa Magufuli lakini halina shukrani. Wachana nalo
Kama Lissu anamtukana mama majukwaani si akamshtaki basi? Kwa hiyo hapa unapromote emotional kwenye utendaji wa kazi za umma?