Serengeti: Tundu Lissu akumbuka shambulio dhidi yake, amtaka Rais mpya na IGP mpya kuwakamata Wahusika

Hivi Rais Samia anaanzaje kuanza kuwakamata waliomshambulia Lissu mwaka 2017 kwa namna anavyomtukana majukwaani.

Hili jitu kweli lilishambuliwa na watu wa Magufuli lakini halina shukrani. Wachana nalo
Ndiyo maana tunataka Katiba Mpya.

Kama Lissu anamtukana mama majukwaani si akamshtaki basi? Kwa hiyo hapa unapromote emotional kwenye utendaji wa kazi za umma?
 
Vitu vingine Lissu anatakiwa asamehe amuachie Mungu mwenyewe aliyemnusuru na kifo ashughurike mwenyewe.

Kama maagizo ya kuuawa kwake yalitolewa na Rais wawakati ule na wakati ule Rais wa sasa alikuwa msaidizi wake anategemea kuwa kikombe hiki yeye hakuhusika kama msaidizi wa Rais wawakati ule na anaweza akajikamata mwenyewe?.
 
Hivi Rais Samia anaanzaje kuanza kuwakamata waliomshambulia Lissu mwaka 2017 kwa namna anavyomtukana majukwaani.

Hili jitu kweli lilishambuliwa na watu wa Magufuli lakini halina shukrani. Wachana nalo
Nikukumbushe kuwa Kuna clip ya video ilitembea Sana humu wakati wa kampeni za urais wa mwaka 2000 ikimuonyesha huyo mama akijinasibu kuwa, waliomshambuliq Lissu siyo askari kwani wangekuwa wao wasingetumia risasi zaidi ya tatu! Hili nalo unalisemeaje? Kwamba alikuwa anamaanisha Nini Kama siyo kushangilia uhalifu ule?
 
View attachment 2742023

Akizungumza mbele ya maelfu ya wananchi kwenye mkutano Mkubwa wa hadhara , Makamu Mwenyekiti wa Chadema , amesema kwamba , Tangu aliposhambuliwa kwa Risasi hakuna yeyote aliyekamatwa wala hakuna uchunguzi uliofanyika hadi sasa .

Amedai kwamba hapo awali , alidhani haukufanyika uchunguzi kwa vile aliyewatuma wauaji wakati huo alikuwa Rais , kwahiyo ingekuwa vigumu kujikamata na kwamba IGP wa wakati huo alikuwa Sirro , lakini sasa Rais ni Samia na IGP ni Wambura .

Tundu Lissu ameendelea kuhoji kwamba , Sasa kama viongozi wale wa zamani wamebadilika na wale wabaya wameondoka , hawa wema akiwemo tunayesema NANI KAMA MAMA , Mbona wahalifu hawa hawakamatwi ?

Ujumbe wake huu hapa

View attachment 2742019
Lissu akitaka wahusika wakamatwe hata kesho itamlazimu ahamie CCM ili wahusika wakamatwe ka kusudio la kumshambulia kada wa CCM.
 
Mkiambiwa jamaa aliugua wazimu wa maleria mnakula chunvi,na ukiuguwa wazimu huponi ila unakaa sawa tu,ila viluwiluwi vya wazimu unakuwa navyo.
sasa basi.
Unamdharau mtu kisha unamtaka awakamate wenzako waliokuchapa risasi.
Ngojea mpaka akili zigeuke jiwe ila sasa ni matope.
 
Hivi Rais Samia anaanzaje kuanza kuwakamata waliomshambulia Lissu mwaka 2017 kwa namna anavyomtukana majukwaani.

Hili jitu kweli lilishambuliwa na watu wa Magufuli lakini halina shukrani. Wachana nalo
Ni mtu mwenye akili za kipunguani tuu anayeweza kuandika hivi.
 
Vitu vingine Lissu anatakiwa asamehe amuachie Mungu mwenyewe aliyemnusuru na kifo ashughurike mwenyewe.

Kama maagizo ya kuuawa kwake yalitolewa na Rais wawakati ule na wakati ule Rais wa sasa alikuwa msaidizi wake anategemea kuwa kikombe hiki yeye hakuhusika kama msaidizi wa Rais wawakati ule na anaweza akajikamata mwenyewe?.
Kweli kabisa, Lissu ajue kesi hii bado iko live na kuna siku watu watasimama kizimbani hata wakiwa wazee.
Mfano wa kesi za jinai zilizo ishi miaka mingi na kuja kulipuka ni za wale mafashist wa kinazi na GESTAPO wa Ujerumani enzi za Hitler kukamatwa miaka ya karibuni na kushtakiwa.
Ipo siku, na sio nyingi tutawaona mahakamani tena tusio wategemea.
Wengi wao watashtakiwa kwa kuujua uhalifu na kuuficha.
Kama makosa ya kawaida tuu mfano wizi, rushwa na ubadhilifu hapo Zambia, leo mawaziri, mke wa Rais mstaafu na wakurugenzi kadhaa wanakamatwa iwe kesi kama hii mbaya zaidi?
 
Hivi Rais Samia anaanzaje kuanza kuwakamata waliomshambulia Lissu mwaka 2017 kwa namna anavyomtukana majukwaani.

Hili jitu kweli lilishambuliwa na watu wa Magufuli lakini halina shukrani. Wachana nalo
Kuita nyeupe ni nyeupe ni tusi!!?
Hivi nikikwambia wewe kuwa unatumia kichwa kwa ajili ya kufugia nywele nitakuwa nimekutukana au nimesema uongo!!??
 
Mkiambiwa jamaa aliugua wazimu wa maleria mnakula chunvi,na ukiuguwa wazimu huponi ila unakaa sawa tu,ila viluwiluwi vya wazimu unakuwa navyo.
sasa basi.
Unamdharau mtu kisha unamtaka awakamate wenzako waliokuchapa risasi.
Ngojea mpaka akili zigeuke jiwe ila sasa ni matope.
Asipowajibika sasa huyo mama yenu kwa vile mnamshauri eti Lissu anamsema majukwaani (kama Rais) mnampoteza. Asipolishughulikia hili katika wakati wake huu ni balaa lake maana anajiweka katika nafasi ya kuhusishwa na ushiriki wa jaribio la mauaji.
 
Kwa hiyo kila siku maneno ni hayo hayo hana mada zingine? Yeye ndie wa kwanza kuumizwa katika nchi hii? Wapi Ulimboka?
Unajua maana na umuhimu wa kuwa na sheria na kuchukuliwa hatua kwa watenda uhalifu!!??

Maana yake ni kuwapa fundisho watu wengine wasirudie kufanya makosa hayo tena.

Wahalifu wana haki ya kupata adhabu ya uhalifu wao.
Haki iliyocheleweshwa ni haki iliyonyimwa.
 
Tutawakamata kwa kushindwa kukumaliza mbwa wewe, wametutia hasara ya risasi tu. Shoga kiguru
 
Back
Top Bottom