Mnazareth
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 3,474
- 7,409
Akii Tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]au siyo??
Akii Tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]au siyo??
Sijui kwelii
Sio akilini, labda wanatumiana picha za uongo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]maana ungeona nilivobishiwa sio tuu picha za akilini ziliwapa ujasiri wa kunibishia hivo.
Wewe njoo pm nitakutumia[emoji23][emoji23][emoji23]
Fanya mchakato basi my shee.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji23]
Muda sana
Mie kazi yangu kule kusoma tuu!!
@lizarazu ndio huwa ananichosha. Kama bado sijala sijisumbui kusoma quote yake maana baada ya sentence moja lazima niitafute oxford [emoji23][emoji23][emoji23]Mnatutesa na dikshonari jamani doh[emoji1787][emoji1787]
Tulia, upepo wa kisulisuli lazima uwasombe kabla mwaka kuisha.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haki wewe hapana
Woiiiii, wewe ndio wakuniambia mimi hivi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😂😂😂😂😂😂 kuna mtu mmoja nilimbamba kaweka savanna kwenye vile vi- aluminum watu wanavyowekea chai maofisini.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umenitamanisha safari...ngoja nikagonge moja chaap
Hebu tulia kwanza, unakuwaje tekeni bila mimi kuwa na taarifa?Mimi ni 'tekeni' dada
Usiponiona huku niko Twitter
Kwa hiyo utaendelea kuniita mchumba kwenye dunia ya kawaida au utaacha?Hunisingizii[emoji23][emoji23]
Hahahahahaha
Unataka kusemaje eti
yes![emoji35][emoji35]
Haujafika tuu? OhooooIko wazi?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikumbushe hebu, ulisema ni nanii
Hebu tulia, au hujui ni wachache hawa?Mmhh uke wenza tena??