Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,933
- 110,401
Hahahah..hivi ukisahau shida ina maana shida ndio imeondoka?
Mpe kilevi mwenye shida anywe alewe asahau shida zake... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]