Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
Upo kule siasani au??
Mbona nipo humu ndani sana mkuu.
Mbona nipo humu ndani sana mkuu.
Ambao hawanijui mnijue sasa mzee wa churaView attachment 1249696
Ni Nani huyo?
HapanaNa kinachoniuma zaidi, wewe ni mdogo kwangu na bado anakuita dada.
Mimi niliweka picha zangu wakasema sio mimi. Sasa nilibaki kushangaa wanasemaje sio mimi wakati sijawahi kukutana nao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikaamua niache tuu.Picha picha picha picha embu wekeni picha.
cute b picha yako sijaiona mpaka leo iko page ipi?
NdiiwoooDada umemuamini? ??
Jamaa mduanzi sana nakumbuka alinimwagia mabusu ya makopa kopa sijui alikuwa anawaza nini [emoji23][emoji23]
Ebu wacha niendelee kutazama nione itakavyo kuwa, maana sio kwa picha ile wallahi...teh[emoji28]Sema ukweli bana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ninayo
Safi sana hiyo njia haidanganyi kabisaNakimbia
Hivi na wewe umeweka picha yako??
YaaaniiiHalafu akamsingizia mkewe
Nakusingizia?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
Hajawahi kukwambia mimi na yeye ni damu moja kabisa! !
Tunafanana mengi kasoro Jinsia[emoji2][emoji2][emoji2]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Shikamoo dada [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ebu wacha niendelee kutazama nione itakavyo kuwa, maana sio kwa picha ile wallahi...teh[emoji28]
Hapa jukwaani niite dada na mimi niringishie.Tuitaneje eti hapa Jukwaani!??[emoji2][emoji2]