Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
EeaaaaaawaaaaaaSawa basi nitakununulia mirinda nyeusi dada yangu mzuri mzuri
EeaaaaaawaaaaaaSawa basi nitakununulia mirinda nyeusi dada yangu mzuri mzuri



mtizame kwanza.
Hata mie sielewi akii, hivi tunazungumzia nini eti jamani
Jamaa mduanzi sana nakumbuka alinimwagia mabusu ya makopa kopa sijui alikuwa anawaza nini![]()








HahahahahahaaaKuna mmoja kila uzi yeye ana ji ccSiku watu wakijakugundua ni mtu mmoja watachoka sana![]()
HallelujahHajawahi kukwambia mimi na yeye ni damu moja kabisa! !
Tunafanana mengi kasoro Jinsia![]()
Na kinachoniuma zaidi, wewe ni mdogo kwangu na bado anakuita dada.
Tatizo limeanzia hapo kumbe
Dada umemuamini? ??
Tatizo limeanzia hapo kumbe
HAPANAItume sasa kigori
SunriseUmeshindwa kabisa??
Sijui kweliiMmhh kwamba dada huu umbea hauujui kabisa au mimi ndiyo siujui??
Na wewe ndo ungesababisha kabisaa!
Kuna kitu kimoja huwa hamshtukagi, mwanamke hawezi kutupia pic zake mfululizo vile tena kwa jeuri kabisaa!!
Ila aliwajibu wanaume kwa makopa meeengiii, ajabu akawa anatuchunia sisi wa kike!
Kwanini eti? Nimeaza kuwa kama lizarazu kwenye nini? !magazeti?Tuna akina lizarazu wengi humu.![]()



Jamaani