Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
Sisemi, nabaki naguna guna.
Mmmhhh
Mmmhhh
Hebu tuna tena 'tasavali'
Naona wewe ndio umeamua kuongeza taharuki ambayo inaelekea kutokea hapa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawezi kujua huyo[emoji23][emoji23][emoji23]
Yule anayetumiaga account yako kuandika kimalkia ni nani? Au lizarazu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mimi ndimi.
Haujafika tuu? Ohoooo
Niambie pembeni
Duh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji849][emoji849][emoji849]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna mtu mmoja nilimbamba kaweka savanna kwenye vile vi- aluminum watu wanavyowekea chai maofisini.
Sasa na wewe kwa hizo kiu za kila Mara nna mashaka u miongoni
Mbona unamchokonoa hivyo DadaaUwiiiii, enheee hajakwambia chochote kuhusu mimi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unamkonyeza mkweo[emoji134][emoji134][emoji134][emoji39][emoji6][emoji6]
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Rashford the wonder kid
Karibu handsome boyNiko serious [emoji125][emoji125][emoji125]nakuja
Mupe MupeHebu tulia kwanza, unakuwaje tekeni bila mimi kuwa na taarifa?
Hapana unaiahirisha kwa muda
Hebu tulia kwanza, unakuwaje tekeni bila mimi kuwa na taarifa?
Wakuu chat zinatosha dondosheni mapicha ya ukweli wachomoa betri waone wivu.