Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,745
- 182,819
Yupi?Hapo babe wangu ni mmoja wengine umenisingizia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Leo ndio leo.
Yupi?Hapo babe wangu ni mmoja wengine umenisingizia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sounds absolutely fantabulous!Hujanikosea kitu eti....[emoji23][emoji23][emoji23]U are very best friend of mine!!!
How does it Sound???
Utapata taabu sana. Ile credibility ya kupewa sifa ishapotea. Watu walijua wewe ni manzi waanze kujichanga kumbe ni dume la mbegu. Pambavuuùu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi tunazungumzia nini eti jamani
Hehehe Dada hapo si baharini kama sio ziwani.
Naomba utoe hicho kidude usoni kwa kule piemu [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijapanick mkuu, huyu dogo kuna kipindi aliniambia nimsalimie kabisaa eti kalingana na dadangu baada ya kuona picha yangu!!
Sio wa kumfuatiliza saaaana!
#UNIKOME#
Nakuja kwako 😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwamba ndiyo umeshataja??
Pm umefunga!!
Kama yako..
Kwani hujawahi kuangalia filamu la Yesu
Kuna mmoja kila uzi yeye ana ji ccSiku watu wakijakugundua ni mtu mmoja watachoka sana[emoji23][emoji23]
Ubaya ni mtazamo wa macho.. Vikikutana huko hata hayo macho hayafiki
I am confused....!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hamna bana wale wanajulikana nje ya JF kabisaa
Na wewe ndo ungesababisha kabisaa!
Kuna kitu kimoja huwa hamshtukagi, mwanamke hawezi kutupia pic zake mfululizo vile tena kwa jeuri kabisaa!!
Ila aliwajibu wanaume kwa makopa meeengiii, ajabu akawa anatuchunia sisi wa kike!
Ndio mkuu
Nimeelewa dearDada si nilikueleza jamani? ??
Hutaki kunielewa tu
Nzuri sana mkuu...
Mimi ni Sakayo mkuu, Samahani lakini!
Ninong'oneze 🙊Uwii mbona kama nimeshamjua??
Acha niyakose tuu mimi jamaniKuna mambo mengi ya muhimu utakayakosa mkuu