Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,488
Dooh matusi hayo mkuu
Punguza wivu jamaniiHivi mbona mimi hauniitagi dada? Kwani nimekukosea nini eti? [emoji23][emoji23][emoji23]
More confusion
![]()
Hii application ya true caller imenyima raha siku ya leo
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu.Nimetoka zangu kuoga kurudi chumbani nakuta kuna missed call katika simu yangu ya mkononi katika kuifungua nikakuta ni new number. Nikataka kujua ni nani hasa alienipigia simu...nikaipiga ile namba kupitia application ya true caller katika kuita...www.jamiiforums.com
Amka bana[emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]
Kuna walokuta pm kumefungwa...
Huyo ndo ze dudu bwana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Make up yo mind, au unawataka wote?
Nashangaa wewe unaitwa dada, na mimi sijamkosea chochote lakini hataki kunipa hadhi ya udada[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]Punguza wivu jamanii
Aimen[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]si nimezirithi kwako??
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Wanangu ni
Shunie
Sakayo
Heaven Sent
cute b Saint anne na Karma ni wadogo zangu ila nao siwaelewi.
Jichagulie hapo yupi unamtaka.
Hahaha...nimecheka sana dear...Umefurahi eeehh
Unataka kunipa ile miwa ya nyongeza mdogo wangu mzuri mzuri!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tubadilishane miguu basi
Zile ni pespsi jamani...Sasa mbona Diamond aliimba "nishushe kubwa lao, la mia sita." Wakati hata mie najua Pepsi BIGI take away ni buku
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kile kisu kumbe cha jirani aisee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]fisi wewe
Nachukua moja mimi..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwamba katika nane nitakayoyasema basi unachukua mawili tu au hauchukui hata moja siyo??