Mnazareth
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 3,474
- 7,409
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji7][emoji7][emoji7]
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji7][emoji7][emoji7]
Salama kabisa mkuu, hujambo mkuu?
Hebu tulia, au hujui ni wachache hawa?
Toka juzi naona jinsi unavyochochea kuni😁😁Ungeanza ww kudondosha ingependeza.
Ni hatari faya.[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Rashford the wonder kid
Zilishafutika na kamera ya simu ikaharibika tena. Hadi nikatengeneze.
Toka juzi naona jinsi unavyochochea kuni[emoji16][emoji16]
Ha ha ha ha ha ha ha nataka kujua.Mbona unamchokonoa hivyo Dadaa
Yule anayetumiaga account yako kuandika kimalkia ni nani? Au lizarazu[emoji23][emoji23][emoji23]
Cc MsubhateMnaendelea je hapa kwa hisani ya mshubate
Mupe Mupe
Hii hii ya Karma.[emoji14][emoji14][emoji12][emoji12]account ipi hiyo tena??
Karibu handsome boy
Akikujibu niambieHa ha ha ha ha ha ha nataka kujua.
Ha ha ha ha ah aha ha ha ah aha #NIKUKOMEHaya ndiyo kayasema Kiba jana.
Unaniibia pencil then unanisaidia kuitafuta.[emoji23][emoji23]
Kwani wewe haujui[emoji23][emoji23]Sasa wakiitwa wanaotema kimalkia na mimi nitatoka kweli?? Hapana bado sijamfikia William Shakespeare (Lizarazu)!!