Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Huenda wanakuwa na picha zako tayri akilini sasa zikija sizo lazima watoke nduki[emoji23][emoji23][emoji23]

Mimi sikuziona embu nitumie basi.
Sio akilini, labda wanatumiana picha za uongo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]maana ungeona nilivobishiwa sio tuu picha za akilini ziliwapa ujasiri wa kunibishia hivo.
Wewe njoo pm nitakutumia[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sio akilini, labda wanatumiana picha za uongo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]maana ungeona nilivobishiwa sio tuu picha za akilini ziliwapa ujasiri wa kunibishia hivo.
Wewe njoo pm nitakutumia[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Muhudumu: kaka karibu, nikusaidie nini?
Hazard : naomba safari
Muhudumu : kubwa / ndogo
Hazard : kubwa ya baridi
Muhudumu : niifungue?
Hazard : hapana nipe maji makubwa nimezeee



Cc. Hazard CFC [emoji23][emoji23][emoji23]
Umenitamanisha safari...ngoja nikagonge moja chaap
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikumbushe hebu, ulisema ni nanii
Huyuu
IMG_20191031_145020_846.jpeg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ngoja nikusaidie tu dada yangu, huko ni kwetu Nyasa Land Kyela (Mbeya), unyakyusani huko na huo ufukwe upo mbele ya hotel ya Land Mark Lake Nyasa.
Sunrise
Coco
Mikadi na wale majirani zake ' kipepeo chadibwa, gorilla, etc
[emoji849][emoji849]
 
Back
Top Bottom