Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Huenda wanakuwa na picha zako tayri akilini sasa zikija sizo lazima watoke nduki[emoji23][emoji23][emoji23]

Mimi sikuziona embu nitumie basi.
Mimi niliweka picha zangu wakasema sio mimi. Sasa nilibaki kushangaa wanasemaje sio mimi wakati sijawahi kukutana nao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikaamua niache tuu.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]umeona eenh?? Achana na ile couple iliyoanzisha, kuna hii couple nyingine iliyofuatisha hii nina wasiwasi nayo sana kuwa ni mtu mmoja japo sina uhakika.
Hehehe kuna wawili ujue, sasa ni yule old model au ile new model [emoji23][emoji23][emoji23]


#umbea ni kazi sana kuongea kwa code
 
Back
Top Bottom