Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

IMG_20191031_122016.jpeg
 
Mwafrika na show off ni chanda na pete
Nimeona aisee. Lazma tutambiane tujue nani mzuri, nani ana shape, nani ana tako, nani handsome, nani ana saa kali, nani ana simu kali, nani ana geto/nyumba kali na nani mwenye lifestyle nzuri ilojaa good time.

People are so desperate for acceptance and belonging hawawezi hata kunavigate JF alone and independently, wakishajuana kwa sneak peeks unawakuta kwenye nyuzi nyingine wakichangia ki team.

But again, for each his own. Binafsi naipenda hii semi anonymity ya JF kwasababu inaniwezesha kuwa objective pale ninaposoma watu na kujudge maandiko yao tu bila kuwa na bias kwasababu ya traits zao nyingine which would have been the case kama nawafahamu.

Hii anonymity inakuwezesha kujenga mental image ya ID ya mtu simply based on the writings bila kuwa corrupted na external factors. Pia inawezesha wale ambao hizo social external factors zingewasababishia wawe considered second grade citizen na maoni yao kudharauliwa as it is in the real world, ila huku bias hio haipo.

Any one who does not wish to lose the gift of objectiveness inayoletwa na anonymity ya JF hatokuwa makini sana na huu uzi.
 
Back
Top Bottom