Mnazareth
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 3,474
- 7,407
Hahaha ila Anty yako amekuwa mgumu kunielewaKiranga komooo mpendwa![]()
Hahaha ila Anty yako amekuwa mgumu kunielewaKiranga komooo mpendwa![]()
Anajulikana mmoja tu banaSasa yule nae anaweza kua mshindi ukakuta ni njemba
![]()







Emu jisnap na wewe tuone kama itatoboa 😂
Sema ukweli bana!! Nafikiri ni snap imeyatoboa
Na wewe ndo ungesababisha kabisaa!
Kuna kitu kimoja huwa hamshtukagi, mwanamke hawezi kutupia pic zake mfululizo vile tena kwa jeuri kabisaa!!
Ila aliwajibu wanaume kwa makopa meeengiii, ajabu akawa anatuchunia sisi wa kike!




Great comment of all the timeNimeona aisee. Lazma tutambiane tujue nani mzuri, nani ana shape, nani ana tako, nani handsome, nani ana saa kali, nani ana simu kali, nani ana geto/nyumba kali na nani mwenye lifestyle nzuri ilojaa good time.
People are so desperate for acceptance and belonging hawawezi hata kunavigate JF alone and independently, wakishajuana kwa sneak peeks unawakuta kwenye nyuzi nyingine wakichangia ki team.
But again, for each his own. Binafsi naipenda hii semi anonymity ya JF kwasababu inaniwezesha kuwa objective pale ninaposoma watu na kujudge maandiko yao tu bila kuwa na bias kwasababu ya traits zao nyingine which would have been the case kama nawafahamu.
Hii anonymity inakuwezesha kujenga mental image ya ID ya mtu simply based on the writings bila kuwa corrupted na external factors. Pia inawezesha wale ambao hizo social external factors zingewasababishia wawe considered second grade citizen na maoni yao kudharauliwa as it is in the real world, ila huku bias hio haipo.
Any one who does not wish to lose the gift of objectiveness inayoletwa na anonymity ya JF hatokuwa makini sana na huu uzi.
Kweli kabisaa jamani mie muoga sana!Acha uoga mkuu
Shunie ni shemeji yangu
Shikamoo mkweeeeeKumbe katoto kadogo hivi, haya nipe shikamoo yangu haraka.
Emu jisnap na wewe tuone kama itatoboa
Ukweli ni kwamba mwenzako nimeshindwa kutoboa maisha nimeamua kutoboa mashavu.![]()








Naomba kibali cha kukutoa huo uogaKweli kabisaa jamani mie muoga sana!
Huyo ni mbishi by nature, muelewe tu.Hahaha ila Anty yako amekuwa mgumu kunielewa
MmmhhhNaomba kibali cha kukutoa huo uoga
Na wewe apo
Nashukuru umenisaidia kuelewa..Huyo ni mbishi by nature, muelewe tu.