Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,633
- 38,733
Yule ndio basi tena..tayari tushampoteza
Na wewe ndo ungesababisha kabisaa!
Kuna kitu kimoja huwa hamshtukagi, mwanamke hawezi kutupia pic zake mfululizo vile tena kwa jeuri kabisaa!!
Ila aliwajibu wanaume kwa makopa meeengiii, ajabu akawa anatuchunia sisi wa kike!


