Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,488
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Correction....Baada ya ile njemba kutolewa[emoji41]
Sasa najidai...lips zetu ngumu lazima zishindanishwe sasa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Correction....Baada ya ile njemba kutolewa[emoji41]
Hehehe Dada hapo si baharini kama sio ziwani.Sinaga picha full huwa napenda selfie tu sipendi full na hata nikipiga full huwa naziangalia tu halafu nazifuta hapo hapo hazinaga nafasi kwa gallery yangu hivyo kuna selfie tu
Ila nataka uniambie hapo ni wapi ukipatia nakupa hela na una nafasi tatu tu za kuotea, ila hizo nywele fanya kama haujaziona. View attachment 1249723
Ushoga unaanzaga hivi hivi.Dah... Msubhate [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]umetuweza mwanaView attachment 1249722
Mwafrika na show off ni chanda na peteKumbe watu wanatamanigi sana kujionesha appearances zao huku JF, basi tu.
Hizo nywele kama zangu kabisaa jamani
Kwani na wewe una panick faster kama Ali kiba mkuu ?
Kama yako..Hivi rangi ya mtume ndiyo ikoje hiyo mkuu??
Anajikosha [emoji23][emoji23][emoji23]Baada ya kukoroga madawa umeamua kuyanywa taratiiiiibu. Ndio ujue Jf inahitaji mental maturity.
Mwambie akukome kujifanya kigoli wakati ni jimama la makamo[emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijapanick mkuu, huyu dogo kuna kipindi aliniambia nimsalimie kabisaa eti kalingana na dadangu baada ya kuona picha yangu!!
Sio wa kumfuatiliza saaaana!
#UNIKOME#
Wewe uligundua kaka?!
Mbona kama ulishindwa kuangalia mpira kabisaa jamani
Aache utoto. Hivi mtu timamu anapata wapi ujasiri wa kujibadili jinsia mtandaoni ?Anajikosha [emoji23][emoji23][emoji23]
Thank you, itabidi uniambie I'd yako nyingine lakiniKwa heshima na taadhima sitaishia ku edit tu bali nitafuta comment yote. Pls I kindly ask you do the same
Nakumbuka nilikupa tahadhari mapema sana rafiki! ![emoji23][emoji23]Ushoga unaanzaga hivi hivi.
Siku watu wakijakugundua ni mtu mmoja watachoka sana[emoji23][emoji23]Ushoga unaanzaga hivi hivi.
Acha wogaHahaha mimi kwakweli lile shindano nimelistop... njemba inaweza kushiriki ikaruka na mkwanja kiulaini kabisa
AkuuuManeno matupu bila picha hayanogi mkuu
Acha woga
HakunaVipi mkuu