Jamaaaaniiiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nasepa zangu twitani, ila wajua niko JF sababu ya crew langu fulani hivi yaani likisambaratika hilo basi sijioni tena nikiendelea kuingia JF maana hilo crew ndiyo linanifanya nafurahi hadi nasahau shida zangu
Utakuwa umetisha sana...Unatumia Njia ipi kukata weight namna hiyo??
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naachaje kusoma eti jamani
Dar es salaam au mwanza. Nisaidie kutaja mkoa basi
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Wewe anakuita nani eti jamani!!
KhaaaMarcus Rashford[emoji41][emoji41]
We tulia na uangalie mpiraSawa Dada najua ushaanza kulifanyia kazi...[emoji41][emoji41]
Ninayo
Kabisaa kakaHutaki maneno mengi Dadaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hehehe kuna wawili ujue, sasa ni yule old model au ile new model 😂😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]si yule kwini eti
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]Huku jukwaani ananiita rafiki lakini pm ananiita "mchumba" nashindwa kuelewa kwanini haniheshimu[emoji23][emoji23]
Hamna wa kukusuta bana
Maisha yenyewe mafupii ujue
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tayari na mie nilikuwa lindoni pia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]live tena
Tuitaneje eti hapa Jukwaani!??[emoji2][emoji2]Huku jukwaani ananiita rafiki lakini pm ananiita "mchumba" nashindwa kuelewa kwanini haniheshimu[emoji23][emoji23]
Ndo nini eti jamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]endelea kumuomba Msubhate akufundishe maana nasikia ameshakuwa 'samjo samjo'