Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,486



ila mimi id ndiyo iliyonishitua aisee
Hahaha mliona kuna kitu hakipo sawa mkapotezea...kumbe kweli bana



ila mimi id ndiyo iliyonishitua aisee
Hahaha mliona kuna kitu hakipo sawa mkapotezea...kumbe kweli bana
Shee hebu acha utani!!Mmh zile za bajaj bana TUMA za kilongalonga
Ni nini hiki jamaniWewe na Sakayo ni chupa na mfuniko. Asubuhi uko na sumbai mchana uko na kalumanzila Mshana Jr jioni uko na 4G LTE na usiku uko na Relief Mirzska![]()









Hujanikosea kitu eti....Hivi mbona mimi hauniitagi dada? Kwani nimekukosea nini eti?![]()


U are very best friend of mine!!!Najua unatania mkuu ila njia za kumsalimia zipo nyingi. Mfano naweza nikamtag kule Twitani na kumsifia si unajua na yeye anapenda sifa kama John wa chattle, basi baada ya kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa huenda aka reply back
Hata mimi unadhani naelewaNi nini hiki jamani![]()



Mkuu, wewe ni ke au me? Au unaweka picha za demu wako? Usinielewe vibaya lakini
View attachment 1249253



sasa si unawashindanisha wale ambao una uhakika na jinsia zao??
Hahaha mimi kwakweli lile shindano nimelistop... njemba inaweza kushiriki ikaruka na mkwanja kiulaini kabisa



tubadilishane miguu basi
Wewe hujashuka nawekana miguu sawa ndo najifotoa jamani!!
Achana na teege kabisaa my dear
Asante sanaKaribu sana usikose eti...Nimekuwekea Seat ya mbele kabisa



akrrrrrr
Tunataka tuone mdomo mamiii....Lile shindano tutataka mkipiga selfie ushike kikaratasi kilichoamdikwa "JF"![]()
Hapo babe wangu ni mmoja wengine umenisingiziaHata mimi unadhani naelewa
Naomba unieleweshe ili nidai mahari.





Ni me/ke, huwezi kuwa mwanaume ukajiita jina la kike.Sidhani huyo ni picha zake, kwanza nina wasi wasi na njisi yake. Probably ni Me
Hallelujah
Kubwa lao ni buku bana
Sasa mbona ulienda kununua malaya mkuu??
Edlyne bana