Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hapa umebugi mzee baba. Hii picha na za mwanzo haziendani. Check rangi na vidole vya mikono tofauti..

Atasema Ni wifi yake sio yeye[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Screenshot_20191030-211742.jpg
 
Huyu jamaa anazingua sana. Achana naye tu mkuu. Hii JF ni kila mtu na lwake na always akili za kuambiwa changanya na zako [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221]
View attachment 1249336
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tutaambia nini watu eti jamani!
 
More confusion

 
Watu wako JF ndio hao wako the other side of the world...

Vile tu watu wako na fake identities wanatumia vibaya uhuru huo, overdoin stuff and often act completely insane...
sawa.Nilitaka kuaminisha watu tu kuwa kuna wadada wazuri na wenye maisha na kazi nzuri pia humu JF [emoji5] na wala sio wachangiaji sana ila pesa na maisha yapo vizuri tu
 
Confused..!!
Mzee mbona huo mwandiko wa kike. Soma beyond content ya uzi wake,Mimi ni mpenzi mtazamaji nimeona fekero moja hadi sasa na ilipita kimya
 
 
Kwani wewe ni me au ke...hehehe?
Yeah lakini hata hivyo mimi sikucomment sana maana kule juu kuna mtu ameniambia eti ana mashaka na jinsia yangu kwa sababu naomba sana picha za wanawake kuliko za wanaume[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]binadamu hawana jema tukiomba za wanaume tu tunaambiwa tuna wivu na wanawake wenzetu tukiomba za wanawake tu tunatiliwa mashaka kwenye jinsia zetu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]daah nimecheka leo mimi jamani
 
Back
Top Bottom