Changamka, nafasi ni chache.Hapo kuna Dada zangu wawili wa damu kabisa...
Ngoja niagalie Hapo chini kwenye wadogo zako usiowaelewa
Dada mimi siku hizi naeleweka. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Wanangu ni
Shunie
Sakayo
Heaven Sent
cute b Saint anne na Karma ni wadogo zangu ila nao siwaelewi.
Jichagulie hapo yupi unamtaka.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyo huyo mjanja mjanja ndio anakufaa maana nawe sio haba.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mzee Baba hii Picha inafikirisha
Cc Msubhate
Sakayo au Karma[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Wanangu ni
Shunie
Sakayo
Heaven Sent
cute b Saint anne na Karma ni wadogo zangu ila nao siwaelewi.
Jichagulie hapo yupi unamtaka.
Mimi yangu ipo Kama Niko msibani[emoji1787]
Kuna mambo mengi ya muhimu utakayakosa mkuuMmmhhh
Huu uoga unanisaidia sana jamani mkuu
Nimekumiss Mimi jamaniDada mimi siku hizi naeleweka. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dada si nilikueleza jamani? ??Nakuzoom tuu jamani
Na mimi nimekumisi eti... Sana sanaa.Nimekumiss Mimi jamani
Hivi mbona mimi hauniitagi dada? Kwani nimekukosea nini eti? [emoji23][emoji23][emoji23]Dada si nilikueleza jamani? ??
Hutaki kunielewa tu
[emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe na Sakayo ni chupa na mfuniko. Asubuhi uko na sumbai mchana uko na kalumanzila Mshana Jr jioni uko na 4G LTE na usiku uko na Relief Mirzska [emoji1745][emoji1745][emoji1745][emoji1745]Dada mimi siku hizi naeleweka. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama hiyo yako
au ile ambayo wanawake wengi wanapambana kuwa nayo hata kwa kumeza vidonge au kujikoboa na Calorite. Excuse my spellings
Basi mkuuHaha sio kweli, huwezi kupatia kiasi hicho
Karibu sana usikose eti...Nimekuwekea Seat ya mbele kabisaNa mimi nimekumisi eti... Sana sanaa.
Nimemiss "praise and worship " haki leo nakuja.
Make up yo mind, au unawataka wote?
Sijafanikiwa kupaona mkuu