DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,503
- 29,900
Maneno matupu bila picha hayanogi mkuuHizo nywele kama zangu kabisaa jamani
Maneno matupu bila picha hayanogi mkuuHizo nywele kama zangu kabisaa jamani
Lile shindano tutataka mkipiga selfie ushike kikaratasi kilichoamdikwa "JF"Sinaga picha full huwa napenda selfie tu sipendi full na hata nikipiga full huwa naziangalia tu halafu nazifuta hapo hapo hazinaga nafasi kwa gallery yangu hivyo kuna selfie tu
Ila nataka uniambie hapo ni wapi ukipatia nakupa hela na una nafasi tatu tu za kuotea, ila hizo nywele fanya kama haujaziona. View attachment 1249723



Ndo lilikutoa udenda, wallah tunamdai udenda wako!Hili guu kama la Zari Hassan
HallelujahHapana nitashusha kubwa lao la mia sita
Ndiyo vizuri kujua unaenda kukutana na niniSi tukiona vitu vizuri lazima tuingie kwenye 18
Shemeji yenu anawatakieni Mchana mwema. Naona mate yanavyokutoka Mkuu mwenye nacho huongezewa zaidi tafuta pesa utawaona wa kawaida watu kama hawa ukiwaweka ndani
View attachment 1249738
Utapata taabu sana. Ile credibility ya kupewa sifa ishapotea. Watu walijua wewe ni manzi waanze kujichanga kumbe ni dume la mbegu. Pambavuuùu
Huwa naagiza kwa ndugu zangu. Hapa dar sijui wapi pa kupata walio safi maana msimu ukifika ndo natumiwa au nachukua nikiendaNaweza kupata wapi hawa wadudu ambao hawajachakachuliwa na wapo kwa hali ya usafi kwa Dar?
Vipi mkuuAiseee
Akija Tz akikuita naomba nikusindikize.
Naomba usinisahau kwenye huo ufalme tafadhali






Kampeni ya kudai inaanza lini ?Ndo lilikutoa udenda, wallah tunamdai udenda wako!
Emoj kama mtuuSio kwa voga huo... Emoji gani bonge KIASI hicho
Huwa naagiza kwa ndugu zangu. Hapa dar sijui wapi pa kupata walio safi maana msimu ukifika ndo natumiwa au nachukua nikienda
Mwanangu yupi?Kwani hutaki mwanao aolewe mkuu ?
Wewe uligundua kaka?!Hukumgundua Dada!???
Uliyenaye kama yupo au kama ukimpata wa kike. Mrembo kama mama yakeMwanangu yupi?