Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahaha mliona kuna kitu hakipo sawa mkapotezea...kumbe kweli bana
wewe unamuambia mwenzako akumbuke maneno yake na wewe ukumbuke yale uliyotuambia hadi kutufanya wenzio tuonekane hatumpendi mwanamke mwenzetu

Aise Saint anne njoo huku unapitwa eti kumbe Msubhate ni dume na kumsifia kote kule kumbe anatuzeveza tu hapa anatuchora tunaonekana matonji
 
Haha daah mkuu sasa ulidhani nimemaanisha ukamsalimie kweli??
Najua unatania mkuu ila njia za kumsalimia zipo nyingi. Mfano naweza nikamtag kule Twitani na kumsifia si unajua na yeye anapenda sifa kama John wa chattle, basi baada ya kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa huenda aka reply back
 
Sinaga picha full huwa napenda selfie tu sipendi full na hata nikipiga full huwa naziangalia tu halafu nazifuta hapo hapo hazinaga nafasi kwa gallery yangu hivyo kuna selfie tu

Ila nataka uniambie hapo ni wapi ukipatia nakupa hela na una nafasi tatu tu za kuotea, ila hizo nywele fanya kama haujaziona. View attachment 1249723
Hizo nywele kama zangu kabisaa jamani
 
Back
Top Bottom