DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,503
- 29,911
Acha hizo mkuuMimi huwa namuita mkuu mtu ambae ndio naongea nae kwa mara ya kwanza au yule ambae sitaki mazoea
Acha hizo mkuuMimi huwa namuita mkuu mtu ambae ndio naongea nae kwa mara ya kwanza au yule ambae sitaki mazoea
Niko serious kabisa
Picha ni halisi ila jinsia sio yeye
Yaaaanii
Mbona huyo kwenye avatar sio wewe mkuu. Labda huyo mnafanana kwa kuwa na nywele fupiWe angalia tu hiyo avatar
Hilo dume shenzi lilinifanya nitoe udenda
Hivi wewe si uligoma hadi kuangalia mpira?!
2011
Hapana kuna wananiojua hapa. Wakiona mavazi yangu watatambua na Id zangu nyingine za kikazi
Jamaa gani?
VipiDaah jamani
Hivi wewe unanifahamu?Mbona huyo kwenye avatar sio wewe mkuu. Labda huyo mnafafana kwa kuwa na nywele fupi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
My ribs!!
Akulipe udenda wakoHilo dume shenzi lilinifanya nitoe udenda
Ndio hivyo mkuuAcha hizo mkuu
Nimepoa mimi jamani[emoji23][emoji23]poleee
Ukomeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha tu
Daaah[emoji23][emoji23][emoji23]kisu kimezingua