Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,488
Msubhate
😀😀😀😀😀😀😀😀😀Mpe kilevi mwenye shida anywe alewe asahau shida zake... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vipi
Kumbee hujaona toka jana jamani...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe unamuambia mwenzako akumbuke maneno yake na wewe ukumbuke yale uliyotuambia hadi kutufanya wenzio tuonekane hatumpendi mwanamke mwenzetu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aise Saint anne njoo huku unapitwa eti kumbe Msubhate ni dume na kumsifia kote kule kumbe anatuzeveza tu hapa anatuchora tunaonekana matonji
Akulipe udenda wako
Hiyo miaka ya nini
2015
Nimepoa mimi jamani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi Sakayo una nini lakini eti??
Wallahi nimecheka kwa nguvu!!
2014Kumaliza chuo, wewe ulimaliza mwaka gani?
Tusubirie sasa top ten najua uhakika wa wewe kuingia ni mkubwa sana!![emoji3][emoji3]haiyaa
Dahhh....Ufungee
#UNIKOME#
Kumbee hujaona toka jana jamani...
Nilimuomba toka juzi anifundishe mapozi ya kusimama akanikaushia kabisaa jamani, comment zangu kama hazioni...
Jana usiku ndo kinabuma, jamaa ni dume
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kamfanya kaka yetu atoe udenda!!
Tunamdai udenda wa kaka jamani
2014
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Dahhh....
Nimesikitika sana wallahi..
NiniMmhh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]daah aise