Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sinaga picha full huwa napenda selfie tu sipendi full na hata nikipiga full huwa naziangalia tu halafu nazifuta hapo hapo hazinaga nafasi kwa gallery yangu hivyo kuna selfie tu

Ila nataka uniambie hapo ni wapi ukipatia nakupa hela na una nafasi tatu tu za kuotea, hizo nywele fanya kama haujaziona. View attachment 1249723
Una rangi ya mtume mtoto mzuri. Wakati wa kupeana msosi lazima uliwe hadi mifupa

 
Mimi ni huyo ambae huoni sura yangu!
 

Attachments

  • _441768_mao-1.jpg
    _441768_mao-1.jpg
    4.8 KB · Views: 3
Back
Top Bottom