Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

IMG-20191029-WA0104.jpeg
 
Mzee kule we unamfollow unaetaka tu, ila mpaka ukuelewe kule ni kazi
Nikienda Twitter nafanyeje? Namfollow nani? Nina akaunti huko lakini naishiaga tu kusoma mipapurano ya wanasiasa na mimi siasa huwa nazikwepa. Basi huwa naishia kukimbia tu na kuja huku.
 
Back
Top Bottom